Majimbo Yote
Moja ya Majimbo Manne
Jimbo la Magharibi Kati
Jimbo la Magharibi Kati ni mojawapo ya Majimbo manne ya KKKT Dayosisi ya Pare, linalohudumu kwa sehemu kubwa maeneo ya milimani mwa Wilaya ya Same.
Idadi ya Sharika
Sharika 11 zinazohudumiwa na Jimbo.
Eneo la Huduma
Wilaya ya Same, ndani ya KKKT Dayosisi ya Pare.
Muundo wa Jimbo
Sharika za Jimbo la Magharibi Kati
Sharika Zote
Kanani
Makanya
Bethlehem
Suji
Tae
Mhero
Chome
Ndolwa
Amani
Kimunyu
Vudee
Udiakonia na Huduma za Kijamii
Huduma za Jimbo kando na Uinjilisti
- Msaada wa mavazi na chakula kwa familia zenye mazingira hatarishi kupitia Sharika zake.
- Mfuko wa Diakonia wa Jimbo unaosaidia watumishi wa Jimbo wanapopata misiba au wagonjwa.
- Huduma kwa washokeri na wagonjwa kwa kuwatia moyo kwa Neno la Mungu, Sakramenti na misaada mbalimbali ya kibinadamu.
Huduma za Elimu
Shule zinazoendeshwa na Sharika
Shule ya Awali Makanya
Inawaandaa wanafunzi kabla ya kuandikishwa darasa la kwanza. Inaendeshwa na Usharika wa Makanya.
Shule ya Awali na Msingi St. Andrew
Shule ya mchepuo wa Kiingereza iliyopo katika Usharika wa Hedaru.