Rukia kwenye maudhui
Wasiliana Nasi
Jimbo la Kusini Magharibi
Majimbo Yote

Moja ya Majimbo Manne

Jimbo la Kusini Magharibi

Jimbo la Kusini Magharibi ni mojawapo ya Majimbo manne ya KKKT Dayosisi ya Pare, linalohudumu kwa sehemu kubwa maeneo ya milimani mwa Wilaya ya Same.

Idadi ya Sharika

Sharika 9 zinazohudumiwa na Jimbo.

Eneo la Huduma

Wilaya ya Same, ndani ya KKKT Dayosisi ya Pare.

Muundo wa Jimbo

Sharika za Jimbo la Kusini Magharibi

Sharika Zote

Agape Kongei Hedaru Bwambo Ivuga Myamba Ngarito Mwalapapa Kirangare Makasa

Udiakonia na Huduma za Kijamii

Huduma za Jimbo kando na Uinjilisti

  • Msaada wa mavazi na chakula kwa familia zenye mazingira hatarishi kupitia Sharika zake.
  • Mfuko wa Diakonia wa Jimbo unaosaidia watumishi wa Jimbo wanapopata misiba au wagonjwa.
  • Huduma kwa washokeri na wagonjwa kwa kuwatia moyo kwa Neno la Mungu, Sakramenti na misaada mbalimbali ya kibinadamu.

Huduma za Elimu

Shule zinazoendeshwa na Sharika

Shule ya Awali Mwalapapa

Inawaandaa wanafunzi kabla ya kuandikishwa darasa la kwanza. Inaendeshwa na Usharika wa Mwalapapa.